Tanzanite Kukipiga na The Young She-polopolo ya Zambia

TIMU ya Taifa ya Wanawake ya Tanzania wenye umri chini ya miaka 20 (Tanzanite) itashuka dimbani siku ya jumamosi katika uwanja wa Azam Complex kucheza na timu ya U20 ya Zambia (The Young She-polopolo) katika mchezo wa kwanza kuwania kufuzu kwa fainali za U-20 za Dunia mwaka 2016. Mechi kati ya Tanzanite dhidi ya Young She-Polopolo kuwania kufuzu kwa Fainali …