Rasimu Katiba Inayopendekezwa Yawasilishwa Bungeni Leo

Na Mwandishi Wetu, Dodoma RASIMU ya Katiba inayopendekezwa imewasilisha leo katika Bunge Maalum la Katiba mara baada ya Kamati ya Uandishi wa Katiba hiyo kumaliza kazi ya kuiandaa iliyopewa na Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba. Akiwasilisha Rasimu hiyo ya Katiba inayopendekezwa, Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi, Andrew Chenge alisema katika mchakato wa kuandika katiba hiyo kamati yake imezingatia mishingi …