Dawa ya Kuulia Magugu Yauwa Watu…!

TAARIFA zinasema dawa ya kuuwa magugu imegeuka shubiri baada ya kuanza kuua watu badala ya magugu kama ilivyokusudiwa. Shirika la Afya Duniani (WHO), linasema inaaminika kuwa dawa ya kuuwa magugu ndio chanzo cha vifo vya takribani watu 18 vilivyotokea Kusini-Magharibi mwa Nigeria, bila ya sababu kujulikana. Hivi karibuni wakazi kadhaa wa Jimbo la Ondo walipoteza maisha muda mfupi baada ya …