Wafanyakazi Manispaa Kinondoni Wapewa Mafunzo na WWF

SHIRIKA lisilokuwa la kiserikali la WWF, limeendesha mafunzo kwa wafanyakazi wa idara mbalimbali za Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni (KMC) kuhusiana na ueneaji wa hewa ukaa na matumizi sahihi ya nishati jadidifu nchini. Mafunzo hayo yametolewa na Mtaribu wa Programu hiyo kutoka WWF  Teresia Olemako alisema lengo la mafunzo hayo ni katika kuhakikisha kuwa watumishi wa Idara mbalimbali wanakuwa na …