JK Ataja Mafanikio ya Tanzania Washington DC

Na Premi Kibanga, Washington DC – Marekani SERIKALI ya awamu ya nne inajivunia mafanikio iliyoyapata tangu kuingia madarakani Mwaka 2005 na kuweka msingi imara wa nchi katika kutekeleza Mkakati wa Maendeleo wa Mwaka 2025 (Tanzania Development Vision 2025) ambao unalenga kuifanya Tanzania kuwa nchi yenye uchumi wa kati ifikapo Mwaka 2025. Rais Jakaya Mrisho Kikwete amesema hayo tarehe 3 Aprili, …