Rais Dk. Magufuli Kuzinduwa Ujenzi wa Barabara ya Juu ‘Flyover’

WIZARA ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano inapenda kutaarifu Umma kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa barabara ya juu (Flyover) katika makutano ya TAZARA na ufunguzi wa Daraja la Kigamboni jijini Dar es Salaam. Siku ya Jumamosi tarehe …

Naibu Waziri Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Atoa Mwelekeo wa Utendaji Wake

NAIBU Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Edwin Ngonyani amewataka watumishi wa Wizara mpya ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano kufanya kazi kwa ubunifu kwa kuzingatia matokeo chanya na kuachana na hulka ya kufanya kazi kwa mazoea. Akizungumza na viongozi wa Wizara hiyo mpya, Eng. Ngonyani amesisitiza umuhimu wa watendaji na watumishi kufanya kazi kwa uadilifu kwa kuzingatia maslahi ya …

Ujenzi Waweka Bayana Mafanikio Yake Ndani ya Miaka 10

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini wa Wizara ya Ujenzi, Segolena Francis (kulia), akizungumza na wanahabari Dar es Salaam leo asubuhi wakati akimkaribisha  Mkurugenzi wa Barabara wa Wizara ya Ujenzi, Mhandisi Ven Ndyamkama (kushoto), kuzungumza na waandishi wa habari  kuhusu mafanikio ya serikali katika sekta ya ujenzi kwa kipindi cha  miaka 10 kuanzia mwaka 2005 hadi 2015.   Hapa mkutano ukiendelea. …