Bajeti ya Makadirio Mapato na Matumizi Wizara ya Fedha Mwaka 2015/16

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA, MHE. SAADA MKUYA SALUM (MB) AKIWASILISHA BUNGENI MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA WIZARA YA FEDHA KWA MWAKA 2015/16 Dodoma JUNI, 2015 1 UTANGULIZI 1. Mheshimiwa Spika, kufuatia taarifa iliyowasilishwa hapa Bungeni na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uchumi, Viwanda na Biashara, naomba kutoa hoja kwamba Bunge …