Dk Kigwangalla Aendelea na Ziara Mshtukizo, Avamia Lindi na Mtwara

Kaimu Muuguzi Mkuu wa Hospitali ya Sokoine ya Mkoa wa Lindi, Damasiana Msalla akimuongoza Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee, Dkt. Hamisi Kigwangalla kuelekea kwenye wodi za hospitali wakati wa ziara ya kushtukiza aliyofanya mkoa wa Lindi. Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Sokoine ya Mkoa wa Lindi, Dk. Evaristo Kasanga akimkaribisha Naibu Waziri wa Afya, …

Naibu Waziri Afya Dk Kigwangalla Asimama Getini Kudhibiti Wachelewaji

Na Eleuteri Mangi- MAELEZO NAIBU Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee, Dk. Hamisi Kigwangalla leo amelazimika kusimama getini baada ya muda wa kuingia kazini asubuhi (saa 1:30) kufikia kikomo huku akiamuru walinzi wafunge geti na waliochelewa kujieleza kwa barua. Amesema zoezi hilo limefanyika ili kuhakikisha wafanyakazi wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na …

Wahimizwa Kujitokeza Kupima Ugonjwa wa Kisukari

Na Beatrice Lyimo – Maelezo SERIKALI imetoa wito kwa kila mwananchi nchini kuhakikisha kwamba anapima afya yake mara kwa mara kwa kuwa ugonjwa wa kisukari unaweza usionyeshe dalili yoyote mapema ili kuweza kukabiliana na kupunguza athari za ugonjwa huo. Aidha Serikali imesisitiza kuwa endapo mtu atatambulika kuwa ana ugonjwa huo, atumie huduma za afya kulingana na ushauri wa atakaopewa na wataalam wa …

Wizara ya Afya Yaandaa Mpango wa Matibabu kwa Watanzania Wote

Na Magreth Kinabo, Dodoma   SERIKALI iko katika mchakato kuandaa Mkakati wa Kitaifa wa Ugharamiaji Huduma za Afya kwa wananchi ili kuhakikisha kila Mtanzania anapata huduma za afya za msingi bila vipingamizi vyovyote vya kifedha. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid wakati wa ufunguzi wa kukusanya maoni ya wajumbe wa Kamati ya Kudumu …