Walijua Shimo la Mungu na Sifa Zake Newala…!

UKIFIKA Wilaya ya Newala Mkoa wa Mtwara jitahidi utembelee eneo maarufu linalojulikana kama shimo la Mungu. Ni shimo kubwa la kuvutia huku likiwa linatisha pia kimuonekano. Ndani ya shimo ni kama eneo la mbuga ndogo na inaaminika kuna baadhi ya wanyama wakali pia. Wenyeji wameamua kuliita jina shimo la Mungu kutoana na maajabu wanayodai hutokea katika shimo hilo. Kwa muonekano …