Mke Mume Wauwawa Kikatili, Wachunwa Ngozi Bunda

MBWANA Joseph Maduhu (70) na mkewe Zawadi Maduhu (60) wote waazi wa kutoa Kijiji cha Macharo, Bunda Mkoani Mara, wameuwawa kikatili baada nyumbani kwao baada ya kuvamiwa na watu wasiojulikana na kukatwa katwa mapanga na kunyofolewa sehemu za miili yao. Kwa mujibu wa taarifa ambazo mtandao huu umezipata mke na mume hao walipoteza maisha na miili yao kukutwa ikiwa imetelekezwa …