Waziri wa Fedha Afunga Kongamano la Hifadhi ya Jamii

Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum akitoa hotuba ya kufunga kongamano la Kimataifa la siku tatu kuhusu hifadhi ya Jamii lililoanza Disemba 15-17, 2014 jijini Arusha.(Picha zote na Eleuteri Mangi- Arusha). Na Mwandishi Wetu, Arusha SERIKALI ya Tanzania  imeridhia azimio la arusha kuhusi hifadhi ya jamii  nchini Tanzania na kusema litatumika kama dira katika kunemeesha watanzania. Azimio hilo ambalo limetoka …