Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) ,Baba Askofu Dkt Fredrick Shoo akitoa heshima ya mwisho kwa marehemu Isalia Elinewinga wakati wa shughuli ya mazishi iliyofanyika kijiji cha Losaa Masama Magharibi wilayani Hai. Jeneza lenye mwili wa marehemu Isalia Elinewinga. Mkuu wa wilaya ya Hai,Anthony Mtaka akitoa heshima za mwisho kwa Waziri wa Elimu wa zamani ,Isalia Elinewinga …