Waziri wa Afya Ummy Mwalimu Akabidhiwa Ofisi Rasmi

NA Eleuteri Mangi – MAELEZO WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee Ummy Mwalimu amekabidhiwa rasmi ofisi na aliyekuwa Waziri wa iliyokuwa Wizara ya Afya na Usatawi wa Jamaii ya Serikali ya Awamu ya Nne Dk. Seif Rashid leo jijini Dar es salaam. Akipokea ofisi hiyo, Waziri Ummy alimshukuru Dk. Seif kwa jitihada kubwa waliyofanya ya kupambana …