Waziri wa Nishati na Madini ‘Avunja’ Kikao cha Bunge

WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amesababisha kuvunjika kwa kikao cha Bunge kilichokuwa kikiendelea usiku huu mjini Dodoma baada ya azimio la kumuwajibisha lililotolewa na Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) kuleta mzozo katika kikao hicho kabla ya kuvunjika. Bunge lilikuwa likipitia mapendekezo ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) iliyofanya uchunguzi wa tuhuma …