Serikali Yaahidi Kumsaidia Mwanahabari Athumani Hamisi

WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Nape Nnauye akisalimiana na Athumani Hamisi alipomtembelea nyumbani kwake Sinza Madukani jijini Dar es Salaam.Athumani Hamisi alikuwa Mpigapicha Mkuu wa Magazeti ya Daily/Sunday News na Habari Leo, yanayomilikiwa na Serikali kupitia Shirika lake la Standard Newspaper, ambaye alipata ajali iliyomsababishia baadhi ya viungo vyake kutokufanya kazi. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, …