Breaking Newz: Huyu Ndiye Waziri Mkuu wa Rais Dk. Magufuli

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amemteuwa Majaliwa Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Serikali ya Awamu ya Tano. Dk Magufuli ametegua kitendawili kilichotanda katika Watanzania wengi hasa wafuatiliaji wa masuala ya siasa. Kassim Majaliwa ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Ruangwa kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) jina lake limetajwa muda huu katika Ukumbi wa Bunge Dodoma …

Waziri Mkuu Pinda Awaasa Wanasheria Tanzania

  WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amewataka wanasheria kutoka nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki waweke mbele maslahi ya wananchi wa kawaida wakati wanapoingia mikataba na wawekezaji kwenye sekta ya madini. Ametoa wito huo Septemba 9, 2014 wakati akifungua semina ya siku tano juuya mafunzo ya kuingia makubaliano na mikataba kwenye sekta ya madini kwa wanasheria wa sekta ya umma kutoka …

Waziri Mkuu Pinda Ataka Gharama za Kuchimba Visima Zipunguzwe

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda ameitaka Wizara ya Maji itafute njia mbadala zitazosaidia kupunguza gharama za kuchimba visima ili wananchi waweze kupata maji safi na salama.   “Wizara ya Maji angalieni uwezekano wa kupunguza gharama za uchimbaji wa visima ili wananchi waweze kumudu kuchimba visima na wapate uhakika wa maji safi na salama,” alisema.   Waziri Mkuu ametoa kauli hiyo Machi …