Bunge Lamthibitisha Waziri Mkuu Majaliwa, Apata Kura 258

BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limemthibitishwa Mbunge wa Ruangwa(CCM), Majaliwa Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania. Kassim Majaliwa amethibitishwa na Bunge baada ya kupigiwa kura na kupata jumla ya kura 258 za ndio ikiwa ni sawa na asilimia 73.5 ya kura zote. Ni kura 91 tu ikiwa ni sawa na asilimia 25.5 ndiyo zilizomkataa kiongozi huyo mteule …

Waziri Mkuu Tanzania Awashawishi Wawekezaji Uingereza

  WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amefanya mikutano na wawekezaji kadhaa ambao wanahudhuria mkutano wa uwekezaji barani Afrika ulioanza jana kwenye jijini London, Uingereza. Katika mikutano hiyo, Waziri Mkuu alikutana na Mwenyekiti wa Taasisi ya Africa Matters Limited, Baroness Linda Chalker na kujadiliana naye masuala yanayohusu utawala bora.   Pia alikutana wawakilishi wa kampuni ya Price Waterhouse Coopers (PwC) wakiongozwa na …