Waziri Mkuu Pinda Azinduwa Ripoti ya BRN Dar

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema kuwa Serikali itahakikisha kuwa sekta na miradi inayotambuliwa na kuingizwa kwenye Mfumo wa Tekeleza kwa Matokeo Makubwa Sasa (Big Results Now au BRN) ni ile yenye manufaa makubwa na ya haraka kwa wananchi walio wengi. Ametoa kauli hiyo leo Machi 5, 2015 wakati akizungumza wa wadau mbalimbali waliohudhuria uzinduzi wa taarifa ya mwaka wa kwanza …

Waziri Mkuu Pinda Asema Mchakato wa Katiba ni Halali na Upo Kisheria

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema mchakato wa Bunge la Katiba unaoendelea hivi sasa ni halali na kwamba mchakato huo ni wa kisheria. Ametoa kauli hiyo Septemba 21, 2014 wakati akizungumza na mamia ya waumini na viongozi mbalimbali waliohudhuria ibada ya uzinduzi wa dayosisi mpya ya Ziwa Tanganyika ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) na kuwekwa wakfu Askofu Ambele …