WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amekagua hospitali ya rufaa ya mkoa wa Kagera na kumpa siku tano Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa huo, Bw. Adam Swai amletee taarifa juu matumizi ya sh. Milioni 80 ambazo ni fedha za UKIMWI. Pia amemtaka ifikapo Machi 20, nwaka huu awasilishe taarifa nyingine ya matumizi ya sh. Milioni 40 za ukarabati wa jengo la wagonjwa …
Waziri Mkuu Afanya Mazungumzo na Mabalozi wa Qatar na Kuwait
WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amekuatana na kufanya mazungumzo na mabalozi wawili kutoka nchi za Qatar na Kuwait. Akizungumza kwa nyakati tofauti na mabalozi hao leo ,ofisini kwake ,Magogoni jijini Dar es salaam, Waziri Mkuu amewashukuru mabalozi hao kwa pongeza walizokuja kumpatia, pamoja na namna ambavyo nchi zao zimekua zikisaidia Tanzania, ambapo ameahidi kuendeleza ushirikiano mzuri baina ya Tanzania …
Waziri Majaliwa Avutiwa na Hali ya Chakula Ruvuma
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amefurahishwa na hali ya chakula mkoani Ruvuma, ikiwa kati ya mikoa inayotegemewa kwa uzalishaji wa chakula kwa wingi nchini. Akizungumza na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Serikali Januari 3, 2016 katika ukumbi uliopo Ikulu ndogo Songea, Waziri Mkuu ameutaka uongozi wa mkoa kuhakikisha kuna upatikanaji wa masoko kwa mazao mbalimbali pamoja na kuendelea kutoa …
Waziri Mkuu Majaliwa Aonya Mahindi Kutengeneza Pombe
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amepiga marufuku chakula cha msaada kutumiwa kutengeneza pombe za kienyeji na kwamba atakayekamatwa atachukuliwa hatua za kinidhamu. Ametoa kauli hiyo wakati akizungumza kwa nyakati tofauti kwenye mikutano ya hadhara iliyofanyika Desemba 21, 2015 kwenye vijiji vya Nangurugai, Machang’anja na Narungombe katika kata za Mbwemkuru na Narungombe wilayani Ruangwa, mkoani Lindi. Waziri Mkuu alikuwa akijibu hoja za …
Waziri Mkuu Majaliwa Asafisha Soko Kariakoo, Viongozi Waitwa Kujieleza
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema zoezi la usafi lililofanyika leo nchini kote lisiishie hapo bali liwe endelevu ili Tanzania iwe na taswira nzuri kwa wageni wanaoingia nchini. Ametoa wito huo leo Desemba 9, 2015 sokoni Kariakoo wakati akishiriki zoezi la kufanya usafiikiwa ni utekelezaji wa agizo la Rais John Pombe Magufuli la kutaka maadhimisho ya miaka 54 ya Uhuru yasiwepo …
- Page 1 of 2
- 1
- 2