Waziri Membe Azinduwa Mkutano Baraza la Wafanyakazi

Na Anitha Jonas – MAELEZO WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernad Membe amefungua Mkutano wa Tisa wa Baraza la Wafanyakazi uliolenga kujadili masuala mbalimbali ikiwemo urejeshaji wa wafanyakazi wa wizara yake walioko nje ya nchi. Hayo yasemwa leo na Waziri Membe alipokuwa akifungua mkutano huo ulihusisha wafanyakazi wa Wizara pamoja viongozi wa TUGHE, kwa lengo la …

Waziri Bernard Membe Akutana na Gavana wa Maryland, O’Malley

  Mhe. Gavana O’Malley akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Mhe. Liberata Mulamula Mhe. Waziri Membe akitoa salamu maalum kwa wajumbe kabla ya mkutano kuanza. Pembeni ni Mhe. Gavana O’Malley. Mhe. Membe akizungumza huku Gavana O’Malley akimsikiliza. Mhe. Membe akiendelea na mazungumzo huku Mhe. Gavana O’Malley na wajumbe wengine wakimsikiliza. Mhe. Gavana O’Malley akizungumza. Balozi Mulamula akiwa na wajumbe …