Mchango wa Shs Elfu 15 wa Waziri Chana Wawekwa Hadharani

ZIKIWA zimepita siku mbili toka uongozi wa Serikali ya Tarafa ya Mawengi Wilaya ya Ludewa mkoani Njombe kuwapongeza wadau mbalimbali waliojitokeza kuchagia Shule ya Msingi Ludewa mjini iliyokubwa na maafa ya kimbunga na madarasa matatu kuezuliwa na uongozi wa tarafa hiyo kuwashukuru waliojitokeza kuchangia akiwemo Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Pindi Chana (Mb) kiasi cha Tsh 15,000 huku waziri huyo akikanusha kuchangia ukweli …