Na Mwandishi Wetu RAIS Jakaya Kikwete tayari amesaini sheria ya Uhalifu wa Mtandao (Cyber Crimes) iliyopitishwa na Bunge hivi karibuni. Sheria hiyo iliyolalamikiwa na wadau wengi hasa wanahabari imesainiwa na Rais na ipo tayari kuanza kutumika ilhali wizara husika ikikaribisha maoni toka kwa wadau na kuweka wazi mabadiliko yanaweza kufanyika. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Waziri wa Mawasiliano, Sayansi …
Waziri Dk Kigoda Ataka Wahitimu Tanzania Wapewe Kipaumbele
Na Aron Msigwa, Dar es Salaam SERIKALI imewataka watendaji na wamiliki wa makampuni kutoka ndani na nje nchi kuacha tabia ya kutoa nafasi nyingi za ajira kwa wageni na badala yake wawatumie vijana wa kitanzania wanaohitimu masomo katika vyuo mbalimbali hapa nchini. Kauli hiyo imetolewa jana jijini Dar es salaam na Waziri wa Viwanda Biashara, Dk. Abdallah Kigoda wakati akizungumza na wahitimu …
Wapiga Kura Wamgeuka Mbunge Wao Mbele ya Waziri
SAKATA la vibali vya uvunaji miti katika msitu wa Taifa wa Sao Hill Mufindi mkoani Iringa limemuweka pabaya Mbunge wa Jimbo la Mufindi Kusini, Mendrad Kigola baada ya wapiga kura wake kumgeuka mbele ya Waziri Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu kuwa mbunge huyo ni mchochezi. Katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika Kijiji cha Igowole juzi Kigola alimkaribisha waziri huyo huku akikosoa mgao wa …