Viongozi wa Chadema Jimbo la Kawe Wakimbilia ACT

BAADHI ya viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Chadema kutoka Jimbo la Kawe wamekihama chama hicho na kukimbilia Chama cha ACT, Wazalendo. Akizungumza jana na wanahabari, Naibu Katibu Mkuu, ACT Wazalendo, Msafiri Mtemelwa alisema wamewapokea viongozi hao na kuwagawia kadi za chama chao. Alisema tukio hilo la kupokea wanachama lukuki pia linaendelea katika mikoa mbalimbali nchini. Aliwataja viongozi toka …