Kibao kinacho elekeza eneo la mradi wa viwanda wilayani Kisarawe mkoani Pwani lililopo Visegese. Mradi huo unaendeshwa na Halmshauri hiyo na wabia wa Kampuni ya World Map Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Brendan Maro (kushoto), akizungumza na viongozi wa Halmshauri ya Wilaya ya Kisarawe, Wabia wa eneo la mradi wa Kampuni ya World Map na …
Tanzania Yapiga ‘Mkwala’ Wawekezaji Utoroshaji Madini
SERIKALI imewataka wachimbaji na wanunuzi wa madini ya Tanzanite nchini, kuacha tabia ya Utoroshaji wa madini hayo nje ya nchi huku, ikiagizwa kuachwa kuuzwa madini ghafi. Katika kudhibiti biashara hiyo, serikali kwa kushirikiana na kituo cha mikutano cha Arusha(AICC) inakusudia kuanzisha kituo cha kisasa cha kimataifa cha ukataji wa madini hayo na kuuzwa nje. Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene alitoa wito huo, wakati akifungua maonesho …
Waziri Mkuu Tanzania Awashawishi Wawekezaji Uingereza
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amefanya mikutano na wawekezaji kadhaa ambao wanahudhuria mkutano wa uwekezaji barani Afrika ulioanza jana kwenye jijini London, Uingereza. Katika mikutano hiyo, Waziri Mkuu alikutana na Mwenyekiti wa Taasisi ya Africa Matters Limited, Baroness Linda Chalker na kujadiliana naye masuala yanayohusu utawala bora. Pia alikutana wawakilishi wa kampuni ya Price Waterhouse Coopers (PwC) wakiongozwa na …