Rais Kikwete Awatunuku Nishani Watumishi wa Umma…!

   Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Mhe. Parseko Vincent Kone baada ya kumtunuku nishani ya Jamhuri ya Muungano Daraja la Kwanza  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtunuku Balozi Liberata Mulamula  nishani ya Jamhuri ya Muungano Daraja la Kwanza  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Balozi Liberata Mulamula baada ya kumtunuku nishani ya Jamhuri ya Muungano Daraja la Kwanza …

JK Awapasulia Watumishi wa Umma Tanzania

Na Mwandishi Maalum, RAIS Jakaya Kikwete amewataka watumishi wa umma nchini kubadilika katika utendaji wao ili kuwa wawezeshaji zaidi badala ya wakwamishaji katika kutoa maamuzi yanayopelekea utendaji wa shughuli mbalimbali nchini. Rais Kikwete ametoa kauli hiyo leo wakati akifungua Kongamano la Maadhimisho ya Miaka 10 ya Tume ya Utumishi wa Umma jijini Dar es Salaam. “Watu wanaona utumishi wa Umma …