Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez akizungumza na waandishi wa habari wa Zanzibar kwenye ofisi ndogo za mashirika ya Umoja wa Mataifa visiwani Zanzibar kuhusiana na mafanikio ya mradi wa kusaidia maendeleo nchini Tanzania (UNDAP) ulioanza mwaka 2011 na sasa ukiwa ukingoni. Kulia ni …
Wake wa Marais Watakiwa Kutumia Nafasi Kuwatetea Wanawake na Watoto
Na Anna Nkinda – Maelezo, New York WAKE wa Marais pamoja na viongozi wametakiwa kuchukua hatua, kutumia sauti zao na nafasi yao ili kuhakikisha watoto, wasichana na wanawake wanapata elimu na afya bora na hivyo kujikwamua na hali ngumu ya maisha. Mwito huo umetolewa na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete wakati akiongea kwenye mkutano uliojadili jinsi gani Dunia ichukue hatua kwa …
Viongozi Wataka Katiba Ijayo Imtambue Mtoto na Haki Zake
Na Joachim Mushi MCHAKATO wa kujadili na kuandika Katiba Mpya unaendelea bungeni mjini Dodoma, licha ya kuwepo kwa mvutano na mgawanyiko wa makundi ya wabunge wa bunge maalumu wanaojadili Rasimu ya Pili iliyowasilishwa kwao. Wakati hayo yakiendelea viongozi, wanaharakati na wadau wa watoto wanapendekeza masuala ya haki za msingi za watoto yatambulike vizuri katika katiba ijayo. Mwenyekiti wa Mtandao wa …