Miss Tanzania 1999 Asaidia Kituo cha Yatima Matumaini, Dodoma

  IMEELEZWA kuwa ili kuwawezesha watoto yatima ambao walizaliwa wakiwa na Virusi vya UKIMWI ambao wanapatikana katika Kituo cha Matumaini kilichopo Manispaa ya Dodoma, Watanzania wametakiwa kuungana kwa pamoja na kuwasaidia watoto hao ambao wanaishi katika kituo hicho ili kuwawezesha kuishi mazingira bora pamoja na kupata huduma za bora za afya. Hayo yalisemwa na Msimamizi wa Kituo cha Matumaini, Sister …

UN Clubs Tanzania Yasaidia Kituo cha Kulelea Watoto Yatima Kurasini

Afisa Habari wa kituo cha Habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC), Bi. Stella Vuzo (kulia) akimkabidhi msaada kwa mlezi wa kituo cha kulelea watoto Bi. Jack Omary(kushoto) ambaye ni Afisa Ustawi wa Jamii kituo cha taifa cha kulea watoto wanaoishi katika mazingira magumu cha Kurasini, hafla hii imefanyika katika siku ya wapendanao. Misaada hyo imetolewa na vijana wa UN Clubs …

Msama Promotion Yatoa Msaada Vituo vya Watoto Yatima Dar

Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama akikabidhi vyakula mbalimbali kwa Bi. Honorata wa kituo cha kulelea watoto yatima cha Honorata kilichopo Temeke jijini Dar es salaam leo wakati alipokabidhi msaada wa vyakula kwa vituo mbalimbali vya jijini Dar es salaam ikiwa ni zawadi yake ya sikukuu ya Krismas kwa vituo hivyo, Bw. Alex Msama amesema pia katika …