Wazazi Wamficha Mtoto Mlemavu Ndani kwa Miaka 11

  Kijana Emanuel Fedrick (20) Mkazi wa Mwambenja Kata ya Ilemi jijini Mbeya  mwenye tatizo la ulemavu wa viungo na akili akiwa amelala ndani ,kwa zaidi ya miaka 11 sasa kwa kile kinacho elezwa kuwa ni kufichwa ndani na wazazi wake ili kuondoa aibu ya familia .   Mahali anapo lala  kijana Emanuel Fedrick (20)Mkazi wa Mwambeja Kata ya Ilemi jijini …

Watoto Walemavu Shule ya Buhangija Wakabiliwa na Changamoto

Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Tanzania, Zulmira Rodrigues akimsikiliza kwa makini Mkuu wa kitengo cha watoto walemavu shule ya msingi Buhangija Jumuishi ya mkoani Shinyanga Mwl. Loyce Daudi aliyekuwa akimwelezea changamoto mbalimbali walizonazo shuleni hapo.(Picha na Zainul Mzige). SHULE ya watoto wenye ulemavu ya Buhangija Jumuishi inakabiliwa na changamoto kubwa zinazofanya …

Watoto Walemavu Mahenge Wasaidiwa Baiskeli

Na Mwandishi Wetu, Morogoro KAMPUNI ya Kibaran Resources inayojihusisha na utafiti wa uchimbaji wa madini ya Uno kwenye Kijiji cha Epanko, imetoa msaada wa baiskeli 30 za walemavu kwa watoto wenye ulemavu katika kata ya Mahenge Wilaya ya Ulanga mkoani Morogoro. Baiskeli hizo zimeundwa maalumu kwa watoto wanaoishi vijijini. Akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kukabidhi baiskeli hizo, Grant …