SHIRIKA la Save the Children nchini limeadhimisha Siku ya Mtoto wa Afrika kwa kukutana na Watoto mbalimbali wa shule za Msingi na Sekondari za Manispaa ya Kinondoni Mkoa wa Dar es Salaam. Katika maadhimisho hayo Walimu na Maafisa wa Ustawi na Maendeleo ya Jamii walishiriki na kuchangia mijadala iliyoibuliwa na watoto wenyewe kuhusu malengo ya usawa na …
Kipindi Tuwalinde Watoto Wetu cha Janet Mwenda Kurushwa Tena Clouds TV
Mmiliki na mwendeshaji wa kipindi cha Tuwalinde Watoto Wetu, Janet Mwenda KIPINDI cha Tuwalinde Watoto Wetu kilichokuwa kikirushwa na Clouds TV, Alhamisi ya wiki hii kinatarajiwa kuanza tena kuonekana kupitia Clouds TV Alhamisi ya Disemba 10, saa tatu kamili usiku. Akizungumza na Dewjiblog, Mmiliki na mwendeshaji wa kipindi hicho, Janet Mwenda amesema kuwa kipindi cha Alhamisi hii kinatarajiwa kuja na kitu …
Mapacha “wakutana” kwa mara ya kwanza
Angalia video ya watoto mapacha, wakikutana kwa mara ya kwanza punde tu baada ya kuzaliwa. Video imepigwa na mfanyakazi wa GoPro Lonie Paxton.
Madaktari Hospitali ya Wanawake na Watoto Australia Waitamani Tanzania
Na Mwandishi wetu – Canberra, Australia WAFANYAKAZI wa Hospitali ya wanawake na watoto ya Centenary ya mjini Canberra wameonyesha nia ya kufanya kazi nchini Tanzania ili kumuunga mkono Mke wa Rais, Mama Salma Kikwete katika juhudi zake za kupunguza vifo vya kina mama wajawazito na watoto. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mtendaji anayeshughulikia afya za wanawake, vijana na watoto wa Hospitali …
Ajali za Magari Zauwa Watoto 186,300 Ulimwenguni
Kaimu Mganga Mkuu wa Serikali, Dk. Mohamed Ally Mohamed (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari wakati akifungua semina hiyo Dar es Salaam leo asubuhi. Kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Kitengo cha Maafa na Dharura, Dk.Elias Kwesi. Mkurugenzi Msaidizi Kitengo cha Maafa na Dharura, Dk. Elias Kwesi (kulia), akizungumza katika semina hiyo kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi Kaimu Mganga Mkuu wa Serikali, Dk. …
TTCL Yasaidia Kituo cha Watoto Yatima Mbagala
Na Mwandishi Wetu KAMPUNI ya Simu Tanzania (TTCL) imetoa zawadi ya Siku Kuu ya Pasaka kwa kutoa msaada wa vyakula mbalimbali kwa kituo cha watoto yatima kilichopo Mbagala, Chamazi jijini maarufu kwa ‘Yatima Group Trust Fund’. TTCL imekabidhi msaada huo wa mchele kilo 150, maharage kilo 100, unga sembe kilo 125, mafuta ya kula ndoo nne, maji katoni 25, juisi …