Mama Salma Kikwete Awataka Watanzania Kumkaribia Mungu

Na Anna Nkinda – Maelezo MKE wa Rais, Mama Salma Kikwete amewataka Watanzania kujenga tabia ya kufanya maombi ili waweze kuwa karibu na Mwenyezi Mungu na kupata faraja pale wanapokabiliana na matatizo mbalimbali wanayokutana nayo katika maisha yao. Mama Kikwete aliyasema hayo hivi karibuni wakati wa mazishi ya mtoto wa Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Vedastus Kitwaga yaliyofanyika katika …