Watanzania Ughaibuni Watakiwa Kuwekeza Kwenye Afya Tanzania

WAZIRI wa Afya na Ustawi wa Jamii wa Tanzania, Seif Rashid na Waziri wa Afya wa Zanzibar, Rashid Seif Suleiman, Januari 25, 2015 walikutana na kuzungumza na na baadhi ya Watanzania waishio nchini Ujerumani. Mkutano huo ulifanyika katika Hoteli ya Martim mjini Berlin, ambapo mawaziri hao kwa pamoja wakiwa na Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani, Philip Malmo walitumia fursha kuzungumza masuala mbalimbali. …

Watanzania Wamuomba Pinda Ofisi ya Ubalozi Qatar

  WATANZANIA wanaoishi nchini Qatar wameiomba Serikali iangalie uwezekano wa kufungua ofisi ya ubalozi nchini humo ili iwe rahisi kwao kufikisha matatizo yao na pia wawe na uhakika wa masuala yao kushughulikiwa kikamilifu. Wametoa ombi hilo kwa nyakati tofauti Desemba 20, 2014 wakati wakitoa hoja na amatizo yao mbele ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda ambaye yuko nchini Qatar kwa ziara ya …

JK Awashukuru Watanzania kwa Upendo…!

RAIS Kikwete amewashukuru wananchi kwa salamu za upendo za kumtakia nafuu wakati akiwa anaendelea na matitabu yake nchini Marekani. Rais Kikwete, ambaye Novemba 12, 2014, alitoka wodini katika Hospitali ya Johns Hopkins na kuhamishiwa kwenye Hoteli Maalum jirani na hospitali hiyo, amesema ameguswa na kufarijika kwa maelfu ya salamu anazopokea kwa njia ya ujumbe mfupi (SMS) kupitia namba maalumu ya …

Watanzania Watakiwa Kuing’ang’ania Amani…!

Na Frank Mvungi – Maelezo WATANZANIA wametakiwa kuendeleza amani na mshikamano uliopo kwa maslahi ya Kizazi hiki na Kizazi Kijacho kwa kuenzi misingi ya Amani na Uzalendo iliyojengwa na Waasisi wa Taifa hili. Hayo yamesemwa Jijini Dar es Salaam na aliyekuwa Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Bw. Amon Mpanju ambaye pia ni mwenyekiti wa shirikisho la vyama vya watu …

Serikali Isikwepe Kulipa Madeni MSD Kuokoa Maisha ya Watanzania

SIKIKA imesikitishwa na tamko lililotolewa na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, kuhusiana na kushindwa kwa vituo vya huduma za afya kununua dawa MSD kutokana na kuongezeka kwa deni. Ni wazi kuwa waziri hajalipa tatizo hili uzito unaotakiwa na kutambua kuwa baadhi ya wagonjwa wanaweza kupoteza maisha kutokana na tatizo hili. Sikika inatambua kuwa, mapato yatokanayo na uchangiaji katika …

Prof Mwandosya, Nagu Wataka Katiba Inayotatua Kero za Watanzania

  Na Benedict Liwenga, Maelezo-Dodoma   MJUMBE wa Bunge Maalum la Katiba, Prof. Mark Mwandosya ameeleza kuwa mpaka ifikapo mwaka 2055 Tanzania itakuwa imeachana na umaskini katika nchi ya uchumi wa kwanza endapo kutakuwa na dhamira ya dhati hususani kuwa kuandika Katiba yenye kuleta nafuu kwa watanzania kwani kila kitu kwa Waafrika kinawezekana pasipo kuwa na Wazungu.   Prof. Mwandosya …