Cheyo Awataka Watanzania Wasidanganyike Kuhusu Katiba

  Na Benedict Liwenga, MAELEZO – Dodoma   MJUMBE wa Bunge Maalum la Katiba ambaye pia ni Mwenyekiti wa TCD, John Cheyo amewataka Watanzania kutodanganywa kuhusiana na mchakato mzima wa kusaka Katiba Mpya. Kauli hiyo imetolewa na Cheyo wakati alipokuwa akifanya mahojiano katika kipindi cha asubuhi cha Jambo kinachorushwa na Televisheni ya Shirika la Habari Tanzania (TBC). Cheyo amesema kuwa …