Na Aron Msigwa, Dar es Salaam SERIKALI imetoa wito kwa watafiti na wataalam kutoka vyuo vikuu, taasisi za elimu na mashirika binafsi kushiriki kikamilifu kuhamasisha jamii kutumia takwimu sahihi zinazotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu ili kuwezesha upangaji wa mipango endelevu ya maendeleo inayoendana na hali halisi ya maeneo husika. Akizungumza kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa …
Watafiti Umasikini Katika Kaya Watakiwa Kupewa Ushirikiano
Na Mwandishi Wetu – Morogoro SERIKALI imewataka wananchi na viongozi wa maeneo mbalimbali nchini kuhakikisha kuwa wanatoa ushirikiano kwa wadadisi kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu watakaoendesha zoezi la utafiti wa ukusanyaji wa takwimu za kufuatilia hali ya umasikini katika kaya kwa mwaka 2014/2015, utaokaofanyika kuanzia Oktoba mwaka huu. Kauli hiyo imetolewa leo mkoani Morogoro na Naibu Waziri wa Fedha – …