Watafiti, Wataalamu Wapewa Wito Matumizi ya Takwimu

Na Aron Msigwa, Dar es Salaam SERIKALI imetoa wito kwa watafiti na wataalam kutoka vyuo vikuu, taasisi za elimu na mashirika binafsi kushiriki kikamilifu kuhamasisha jamii kutumia takwimu sahihi zinazotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu ili kuwezesha upangaji wa mipango endelevu ya maendeleo inayoendana na hali halisi ya maeneo husika. Akizungumza kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa …