JWTZ Lawaaga Viongozi Waandamizi 16 Waliostaafu

      Na Dotto Mwaibale JESHI la Wananchi Tanzania (JWTZ), limewaaga Mameja generali, Luteni na Brigedia Generali 16, akiwemo, aliyekuwa Msaidizi wa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Luteni Generali Samwel Ndomba. Tukio la kuwaaga majenerali hao ambao wamestaafu utumisho wao jeshini limefanyika jijini Dar es Salaam leo katika viwanja Twalipo Mgulani saa tatu hadi saa tatu asubuhi …