Na Aron Msigwa – Dar es Salaam SERIKALI imesema kuwa zoezi la uandikishaji wa wananchi katika Daftari la Kudumu la wapiga kura kwa kutumia mfumo wa BVR jijini Dar es salaam litafanyika kama ilivyopangwa kuanzia Julai 16 hadi 25 mwezi huu kwa mafanikio makubwa kutokana na maandalizi mazuri yaliyofanywa na Tume ya Uchaguzi kwa kushirikiana na Manispaa za mkoa huo. …