Na Anna Nkinda – Maelezo, New York ZAIDI ya wasichana milioni 58 Duniani wameolewa wakiwa na umri wa chini ya miaka 18 kati ya hao milioni 15 wana umri wa kati ya miaka 10 hadi 14 jambo linalowasababisha kupata maambukizi ya Ugonjwa wa Ukimwi na kufanyiwa ukatili wa kijinsia. Kwa upande wa Tanzania takwimu zinaonyesha kuwa wasichana wanajihusisha mapema zaidi katika …