Stadi za Maisha Kikwazo cha Wasichana Wengi Masomoni

Na Anna Nkinda – Maelezo KUTOFAHAMU stadi za maisha kumewafanya watoto wengi wa kike kushindwa kumaliza masomo yao kwa kijiingiza katika vishawishi mbalimbali na hivyo kutotimiza ndoto zao za maisha. Hayo yamesemwa jana na Anita Masaki ambaye ni Afisa Mradi wa TUSEME kutoka Ulingo wa Wanawake waelimishaji wa Afrika (FAWE) wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya uwezeshaji wa jinsia kwa wanafunzi wa kike wa …

Wasichana 30 Jijini Mwanza Wapata Mafunzo ya Siku Tano

Mkurugenzi wa Shiriki la KIVULINI Bw Ramadhan Masele akisisitiza jambo wakati akifunga mafunzo maalum kwa wasichana 30 walio na umri kati ya miaka 18 mpaka 25 kutoka wilaya ya Ilemela na Nyamagana za jijini Mwanza hapo jana. Wasichana hao wamepewa mafunzo kuhusu ukatili wa kijinsia majumbani pamoja na Kingono lengo likiwa ni kuzalisha waelimisha rika wengi zaidi mitaani na kutengeneza …