Mikutano ya Majira Kipupwe Yaanza Rasmi Mjini Washington DC
MIKUTANO ya majira ya Kipupwe imeanza rasmi tarehe 14/4/2015 na kuhudhuriwa na nchi mbalimbali wanachama zaidi ya 188. Mikutano hii huudhuriwa na maelfu ya wafanyakazi kutoka Serikalini, waandishi wa habari, Mashirika na Taasisi zisizo za kiserikali, Sekta binafsi pamoja na kamati za kifedha. Taasisi hizo kwa pamoja zitajadili maendeleo ya kazi za Benki ya Dunia na Shirika la Fedha la …
JK Ataja Mafanikio ya Tanzania Washington DC
Na Premi Kibanga, Washington DC – Marekani SERIKALI ya awamu ya nne inajivunia mafanikio iliyoyapata tangu kuingia madarakani Mwaka 2005 na kuweka msingi imara wa nchi katika kutekeleza Mkakati wa Maendeleo wa Mwaka 2025 (Tanzania Development Vision 2025) ambao unalenga kuifanya Tanzania kuwa nchi yenye uchumi wa kati ifikapo Mwaka 2025. Rais Jakaya Mrisho Kikwete amesema hayo tarehe 3 Aprili, …
Rais Kikwete Awasili Washington DC Kushiriki Mikutano
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa ameongozana na Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Liberata Mulamula mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa ndege wa La Guardia jijini Washington DC tayari kwa kushiriki katika mikutano mbalimbali na pia katika hafla ya “USIKU WA JAKAYA” leo jioni. Karibu Washington DC Mheshimiwa Rais akiendelea kusalimia na na wafanyakazi wa ubalozini Mapokezi yakiendelea Rais Kikwete …