Bifu la Diamond, Ali Kiba Lahamia kwa Mashabiki…!

Na Mwandishi Wetu, BIFU la wanamuziki nyota wa muziki wa bongo fleva kati ya msanii Nasibu Abdul a.k.a Diamond Platnumz na msanii Ali Kiba limeendelea kushika kasi na sasa limeingia kwa mashabiki na wapenzi wa wasanii hao. Bifu hilo lilipamba moto zaidi katika tamasha la fiesta jijini Dar es Salaam ambapo msanii Diamond alizomewa mwanzo mwisho na baadhi ya mashabiki …