Wasanii Bongo Movie Wanogesha Kampeni za Mgombea Mwenza CCM

Baadhi ya wasanii wa Bongo Movie wakizungumza na wanaCCM na wananchi katika mkutano wa kampeni za mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu katika mkutano uliofanyika kwenye viwanja vya Shule ya Msingi Azimia Jimbo la Kibaha Vijijini jana mkoani Pwani. Baadhi ya wasanii wa Bongo Movie wakizungumza na wanaCCM na wananchi katika mkutano wa kampeni za mgombea …

Wasanii Nguli 70 Wakutana Jukwaa la Sanaa Kujadili Sanaa

Baadhi ya wasanii wakiwa katika mjadala JUKWAA La Sanaa la BASATA wiki hii lilipata wazungumzaji wa aina yake na kulifanya kuwa jukwaa lililochangamka na kuwa na mazungumzo ya zaidi ya saa tano. Wasanii takriban 70 walikaa wakichambua maada mbalimbali kuhusu mustakhabari wa sanaa katika nchi yetu.  Jambo ambalo liliingiza changamoto katika jukwaa hili, ni kuweko katika meza kuu wasanii wawili …

Wasanii Makada wa CCM Kuzunguka Kuipigania Ishinde Uchaguzi

Na Joachim Mushi, Dar es Salaam WASANII ambao ni makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wameandaa Tamasha kubwa kuzunguka nchi nzima kwa pamoja na kukinadi chama hicho tawala pamoja na Sera zake ili kiweze kushinda Uchaguzi Mkuu onaotarajia kufanyika Oktoba Mwaka huu (2015). Tamasha hilo litakalojulikana kama “MAMA ONGEA NA MWANAO 2015″ limeandaliwa na baadhi ya wasanii makada wa CCM …

Matukio Siku Wasanii Walipomuaga Rais Kikwete Mlimani City

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni  Mhe Paul Makonda alipowasili katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es salaam ambako Wasani wa fani mbalimbali waliandaa hafla rasmi ya kumuaga usiku wa Alhamisi Agosti 6, 2015   Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Mhe. John Pombe Magufuli alipowasili katika …

COSOTA Yawanoa Wasanii na Wadau Juu ya Kazi Zao

CHAMA cha Kusimamia Haki Miliki kwa Wasanii na Kazi za Sanaa (COSOTA) kimekutanisha wanachama wake na wadau wengine kisha kutoa semina juu ya namna bora ya kusimamia kazi zao ili ziwafaidishe zaidi kuliko wanavyofanya baadhi ya wasanii ambapo hujikuta kazi zao zinawanufaisha wengine. Miongoni mwa mada ambazo zilitolewa kwa wanachama wa COSOTA pamoja na wadau mbalimbali ni namna ya kulinda …

Kajala Amwaga Mihela kwa Wasanii…!

Meneja wa Skylight Band Aneth Kushaba AK47 akitoa burudani kwa mashabiki wa bendi hiyo Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha Thai Village huku akipewa sapoti na Digna Mbepera. Majembe ya Skylight Band yakionyesha manjonjo yao jukwaani Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha Thai Village Masaki. Aneth Kushaba na Sam Mapenzi wakiwapa raha mashabiki wao huku Digna Mbepera na Bella Kombo. …