RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ameagiza kuachiwa huru kwa Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya, Emmanuel Elibariki maarufu kama Ney wa Mitego (pichani) na wimbo wake kuruhusiwa kupigwa katika vyombo vyote vya Redio na Televisheni. Wimbo huo unaojulikana kwa jina la “Wapo” ulikuwa tayari umefungiwa na Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) mapema leo …
Steve Nyerere Afunguka Madai ya Chama Cha Mapinduzi Kudaiwa
MSANII wa Filamu nchini Steve Nyerere, leo amekutana na Waandishi wa Habari, ambapo katika mkutano huo amekanusha kuwa Wasanii nchini hawakidai Chama Cha Mapinduzi fedha kwa ajili ya Mradi wa Mama Ongea na Mwanao, wakati wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015. Katika Mkutano huo STEVE NYERERE amesisitiza kuwa kilichosemwa na WEMA SEPETU kuwa anaidai CCM fedha ni …
Hatimaye Serikali Yaikubali Chura ya Msanii Snura…!
Mkutano na wanahabari ukiendelea. Na Dotto Mwaibale SERIKALI kupitia Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imeruhusu kupigwa kwa wimbo wa chura wa msanii Snura Mushi baada ya kuufunga kwa kuwa haukuwa na maudhui mazuri ya Kitanzania. Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, Snura Mushi alisema wimbo wake na video umeruhusiwa …
Media Car Wash yaanza kwa mafanikio Dodoma
Mwenyekiti wa Bunge Sports, William Ngeleja akisalimiana na Mkurugenzi wa Utafiti na Masoko wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Athuman Rehani wakati wa harambee ya kuosha magari kupitia kampeni ya Okoa Maisha ya Waandishi wa Habari ‘Media Car Wash For Health’ yenye lengo la kuchangisha fedha kwa ajili ya kuwakatia bima ya afya waandishi wa habari nchini. …
Waziri Nape Nnauye Awakaribisha Wasanii Bungeni..!
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye akiwa na wasanii mbalimbali pamoja na blogger nje ya bunge baada ya kuwasilisha hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya wizara hiyo kwa mwaka wa Fedha wa 2016/2017, bungeni Dodoma. Msanii Wema Sepetu akiwa na baadhi ya wasanii wengine bungeni Nape akiwa na baadhi ya wasanii nje ya Bunge. Wema …