Walimbwende Miss Tanzania 2016 Waingia Kambini…!

Baadhi ya washiriki wa Shindano la Miss Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuwasili Hoteli ya Regency Msasani jijini Dar es Salaam leo kuanza kambi rasmi.   Mkurugenzi wa Lino Agency, waandaaji wa Shindano la Miss Tanzania, Hashim Lundega akizungumza na waandishi wa habari hotelini hapo mara baada ya idadi kubwa ya warembo hao kuwasili tayari kuanza …

Warembo Miss Tanzania 2014 Waingia Kambini Dar

WANYANGE 30 wanao wanbia taji la Redd’s Miss Tanzania 2014 wameingia kambini tayari kwa safari ya fainali za Miss Tanzania 2014 zitakazo fanyikia mapema mwezi Oktoba jiji Dar es Salaam. Warembo hao waliowasdili kwa muda tofauti kuanzaia saa 12 alfajiri ya leo na kupokelewa na waandaaji wa Miss Tanzania katika hoteli ya JB Belmont iliyopo katikati ya jiji la maraha …

Warembo Taji la Miss Dar City Center 2014 Watambulishwa

  Mratibu wa shindano hilo, Judith Michael akizungumza na wanahabari, pamoja nae ni Mkufunzi wa warembo hao.   *********  WANYANGE 20 wanao wania taji la Miss Dar City Center kesho Mei 16 mwaka huu watawasha moto vikali katika ukumbi wa Maisha Clab wakati wa shindano lao la Vipaji. Shindano hilo litaongozwa na wasanii, Rich Mavoko, Bonge la Nyau na TID ‘Mnyama’ wanataraji kuwaongoza …