Familia Newala Zachangia Kuwalinda Wanyanyasaji

MKUU wa Polisi Wilaya ya Newala (OCD), Jeremiah Shila amesema baadhi ya wanafamilia wilayani hapo wamekuwa kikwazo kwa mapambano dhidi ya vitendo anuai vya kikatili kwa kile kuwalinda watu wanaokabiliwa na kesi hizo. OCD Shila alitoa kauli hiyo hivi karibuni alipokuwa akizungumzia utendaji wa Dawati Maalum la Jinsia na Watoto la Wilaya hiyo dhidi ya vitendo vya unyanyasaji. Mkuu huyo …