KIKUNDI kimoja cha kujitolea nchini India kimegawa vyoo 108 bure katika Kijiji cha Katra Sahadatganj ambako wasichana watatu waliuawa kwa kunyongwa katika miti mwezi Mei mwaka 2014 wakitafuta sehemu ya kujisaidia porini. Mei 2014 wasicha watatu ndugu waliuwa katika eneo la Katra Sahadatganj huko Uttar Pradesh wakati walipokwenda kujisaidia porini. Wanaharakati waliliona hilo la uhaba wa vyoo ambalo liliwalazimu wasicha …
Je, Kwanini Wanawake Husifika kwa Vitendo vya Ukatili?
Na Happy Joseph NIMEJARIBU kuchambua kwa kadri nilivyoweza na kwa ufupi(japo haitaonekana kama uchambuzi mfupi) Matukio ya kinyama kwa ujumla wake bila kuseparate jinsia yanasababishwa na kitu kimoja kikubwa…KUKOSA UPENDO. Nadhani kukosa upendo kwaweza kutazamwa zaidi kiimani na kisaikolojia. KISAIKOLOJIA Binadamu tangu atungwapo mimba huanza kujifunza na kujenga tabia yake atakayokuwa nayo siku za baadaye. Wataalam wa saikolojia wanasisitiza mama …
Achana na Michepuko Baki Njia Kuu…!
“If a man can love one woman without lying, cheating, or misleading, he can do anything!” –Tony A. Gaskins Jr. TUMAINI katika jamii inayoendelea muda wote, sikumbuki ni wakati gani kulikuwa hamna barabara zinajengwa, kila siku simu mpya zinatoka, mitandao ya jamii mipya kama Facebook, Twitter na sasa Instagram. Tunapenda vitu vizuri. Chakusikitisha, hili jambo la kupenda vitu vizuri limeingia katika …