WLAC Yawajengea Uwezo Wanawake Walemavu Kushiriki Uchaguzi

 Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Msaada wa Sheria kwa Wanawake na Watoto (WLAC), Theodosia Muhulo Nshala, akizungumza na wanahabari katika kongamano hilo.  Mmoja wa washiriki wa kongamano hilo, Kuruthum Dindili (katikati), akizungumza na wanahabari katika kongamano hilo.  Kongamano likiendelea. Kongamano likiendelea.   Na Dotto Mwaibale   WALEMAVU wenye mahitaji maalum wameonekana kusahaulika na serikali kwa kuwawezesha kufikia haki zao kama …

Madaktari Hospitali ya Wanawake na Watoto Australia Waitamani Tanzania

Na Mwandishi wetu – Canberra, Australia WAFANYAKAZI wa Hospitali ya wanawake na watoto ya Centenary ya mjini Canberra wameonyesha nia ya kufanya kazi nchini Tanzania ili kumuunga mkono Mke wa Rais, Mama Salma Kikwete katika juhudi zake za kupunguza vifo vya kina mama wajawazito na watoto. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mtendaji anayeshughulikia afya za wanawake, vijana na watoto wa Hospitali …

Repoa Yataka Wafanyabiashara Ndogondogo Wanawake Wawezeshwe

Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika Equality for  Growth (EfG), Jane Magigita akizungumza na waandishi wa Habari (Hawapo Pichani) wakati wa ufunguzi wa Kongamano hilo Dar es salaam leo. Ofisa Programu Dawati la Uangalizi wa Serikali wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Hussein Sengu (kulia) akitoa mada katika Kongamano la siku mbili la Wanawake Wafanyabiashara Sokoni Tanzania lililofanyika Dar …

Asilimia 40 Wanawake Zanzibar Waishi Katika Umasikini…!

Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman Iddi (aliyefunikwa mwamvuli) akiwasili kwenye sherehe ya siku ya wanawake duniani iliyoandaliwa na Zanzibalicious Women Group na kufanyika ndani ya ukumbi wa Salama, Bwawani Hotel mwishoni mwa wiki. Na Mwandishi wetu, Zanzibar UTAFITI uliofanywa  na taasisi ya wanawake nchini Zanzibar ya Zanzibalicious Women  umebaini kuwa asilimia 40 ya …

WAMA Yakopesha Wanawake Bilioni 1.9

Na Anna Nkinda – Maelezo, Nachingwea JUMLA ya mikopo yenye thamani ya bilioni 1.9 zimetolewa kwa wanachama wa vikundi vya kukopa na kuweka akiba vilivyopo chini ya mradi wa Mwanamke Mwezeshe unaosimamiwa na Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA). Hayo yamesemwa jana na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete wakati wa sherehe za kuadhimisha mwaka mmoja wa kuanzishwa kwa vikundi vya …