Hawahapa Wanawake 10 Watanzania Waliojipatia Umaarufu

KILA ifikapo Machi 8 dunia huadhimisha siku ya kimataifa ya wanawake ambapo nchi na taasisi mbalimbali huwa na shughuli kadha wa kadha katika kusherehekea siku hii. Kwa kawaida shirika la Umoja wa Kimataifa Duniani, UN, huwa na kauli mbiu kwa kila mwaka katika kuadhimisha siku hii, kwa mfano mwaka huu inasema, “Wanawake Katika Ulimwengu wa Mabadiliko ya Kazi: Kufikia usawa wa …

Watanzania Watano Wateuliwa Kuwaidua Wanawake Kiuchumi

Vijana hao waliofanikiwa kuchaguliwa kuwa mabalozi wa “CHAMPION FOR CHANGE” ni Agnes Mgongo, Doris Mollel, Hassani Tozir, Catherine Ruge pamoja na Sadick Lungendo. Mabalozi hawa watashirikiana na serikali kwa kwa hamasa na mafunzo mbalimbali ili kuwainua na kuwawezesha wanawake kujikwamua kiuchumi. Hivyo basi wadau wote kwenye njanja tofauti tofauti wanaombwa kuwaunga mkono mabalozi hawa kwa kushiriki kwenye midahalo au mahojiano …

Tanzania Yafanya Vizuri Katika Uwezeshwaji Wanawake Kiuongozi

    Na Aron Msigwa – MAELEZO. MFUKO wa Hanns Seidel Foundation (HSF) unaojihusisha na uwezeshaji wa wanawake katika nyanja za uongozi, usawa kijinsia na masuala ya siasa katika nchi mbalimbali umeitaja Tanzania kuwa miongoni mwa nchi zinazofanya vizuri katika uwezeshaji wa wanawake duniani. Mwenyekiti wa Mfuko huo ambao makao yake yako nchini Ujerumani Prof. Ursula Mannle ameyasema hayo jijini …

Wanawake Wafuganyuki Waokoa Hekta 7,270 za Misitu Kazimzumbwi

  Maofisa wa taasisi ya Mfuko wa Wanawake wa Afrika (WAF) Anna Salado na Alicia (kushoto) wakipata maelezo ya fugaji nyuki katika msitu wa hifadhi wa Pugu. WANAWAKE wanaofuga nyuki wataokoa hekta 7,270 za misitu ya hifadhi ya Pugu na Kazimzumbwi, imefahamika. Misitu hiyo, ambayo ni miongoni mwa Misitu ya Hifadhi 486 iliyopo nchini, imekuwa hatarini kutoweka kutokana na shughuli za kijamii hususan uvamizi …

Wizara ya Ujenzi Yawapiga Msasa Makandarasi Wanawake

MAKANDARASI wanawake nchini wametakiwa kujiendeleza kiuchumi na kitaaluma kila wakati ili wawe na uwezo wa kushindana na makandarasi wengine katika zabuni za miradi mikubwa ya ujenzi hapa nchini. Mkurugenzi wa Sera na Mipango wa iliyokuwa Wizara ya Ujenzi Bi. Elizabeth Tagora amesema hayo wakati akifungua mafunzo ya siku tano ya makandarasi wanawake yalioanza leo mjini Kibaha mkoani Pwani. “Mafunzo haya …

Maoni ya Wanawake Wajasiliamali Dhidi ya Serikali ya Rais Kikwete na Ijayo (1)

Maoni ya Wanawake Wajasiliamali Dhidi ya Serikali ya Rais Kikwete na Ijayo (1) TAREHE 25, Oktoba 2015 Watanzania wenye sifa za kupiga kura wanatarajia kupiga kura katika Uchaguzi Mkuu kuchagua viongozi ambao wataunda Serikali ya awamu ya tano na kuliongoza taifa kwa kipindi cha miaka 5 mfululizo. Yafuatayo ni maoni ya baadhi ya wanawake wajasiliamali walioshiriki Maonesho ya 39 ya …