Achana na Michepuko Baki Njia Kuu…!

“If a man can love one woman without lying, cheating, or misleading, he can do anything!” –Tony A. Gaskins Jr. TUMAINI katika jamii inayoendelea muda wote, sikumbuki ni wakati gani kulikuwa hamna barabara zinajengwa, kila siku simu mpya zinatoka, mitandao ya jamii mipya kama Facebook, Twitter na sasa Instagram. Tunapenda vitu vizuri. Chakusikitisha, hili jambo la kupenda vitu vizuri limeingia katika …