Waziri Mkuu Pinda Awaasa Wanasheria Tanzania

  WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amewataka wanasheria kutoka nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki waweke mbele maslahi ya wananchi wa kawaida wakati wanapoingia mikataba na wawekezaji kwenye sekta ya madini. Ametoa wito huo Septemba 9, 2014 wakati akifungua semina ya siku tano juuya mafunzo ya kuingia makubaliano na mikataba kwenye sekta ya madini kwa wanasheria wa sekta ya umma kutoka …