WANANCHI wa vijiji vya Leguruki na King’ori katika wilaya ya Arumeru wameandaa sherehe kubwa kwa ajili ya mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki, Joshua Nassar baada ya kutatua mgogoro wa maji uliodumu kwa muda mrefu katika vijiji 15 vya wilaya hiyo. Sherehe hiyo iliyoenda sanjari na shughuli za kimila ilishuhudiwa mbunge huyo pamoja na mkewe Anande Nnko wakivishwa maazi ya …
Maagizo ya Waziri Mkuu Pinda Yaendelea Kufanyiwa Kazi na Polisi!
Miezi kadhaa iliyopita waziri Mkuu Pinda alitoa maagizo wakati anazungumza bungeni kwamba Watanzania wataokuwa wanaandamana “wapigwe tu”. Tokea agizo hilo litolewe na mkuu huyu, polisi wetu wameendelea kuwa wakatili na wanyama dhidi ya Watanzania wenzao kwa kisingizio kwamba wanavunja sheria. Mimi sio hakimu, na wala sitaki kuingia kwenye mjadala kwamba wamevunja sheria au lah! Tatizo ninalo liona hapa ni uvunjaji …
Takwimu Kuendelea Kuwapatia Taarifa Sahihi Wananchi
Na Aron Msigwa – MAELEZO SERIKALI kupitia Ofisi ya Taifa ya Takwimu imesema kuwa itaendelea kuwapatia wananchi takwimu sahihi zinazohusu sekta mbalimbali ili kuwajengea uwezo wa kushiriki katika ngazi za maamuzi na masuala mbalimbali nchini. Kauli hiyo imetolewa leo jijini Dar es Salaam na Waziri wa Fedha wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Omar Yussuf Mzee wakati akifungua rasmi maadhimisho ya Siku ya …
Wananchi Wamzomea Ofisa Mipango Miji Mkutanoni
Na Mwandishi Wetu, Moshi WANANCHI wa Kijiji cha Uchira Halmashauri ya Moshi mkoani Kilimanjaro wamemzomea Ofisa Mipango Miji wa Halmashauri hiyo kwenye mkutano wa kijiji ambao ulikuwa kwa ajili ya kuwataka wananchi wabariki mchoro wa mipango miji wa kijiji hicho kuwa mji mdogo. Mkutano huo ulianza saa tano na nusu na kudumu kwa saa moja kwa malumbano na kupelekea kuvunjika kwa mkutano huo, ambapo …
Pilikapilika za Maadhimisho ya Sherehe ya Miaka 50 ya Muungano
Ujumbe mathubutu kwenye vitenge maalum walivyotengenezwa kwa ajili ya sherehe hizi za miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kama zilivyonaswa leo na Mpiga picha wetu maalum. Uwanja wa taifa Watu wakiwa wanaelekea Uwanja wa Taifa kujumuika kwenye sherehe hizo. Msongamano mwengine Your browser does not support the video tag Video ya wananchi wakielekea Uwanja wa Taifa kujumuika na …
Mwananchi- Usifikiri Dampo, ni Kituo Cha Daladala!
Picha ya kwanza, inaonyesha chakula (mapaja ya kuku) kikiuzwa pembezoni mwa kituo cha Mabasi, Banana, wilayani Ilala. Meza zimewekwa juu ya mifereji ya kupitisha Maji ya mvua, ambayo nayo imejaa taka za aina mbalimbali. Picha ya pili ni wakazi wakipita kwa taabu juu ya Maji yenye kinyesi, baada ya baadhi wa wananchi kutumia fursa hii ya mvua kutapisha vyoo! Picha …